Naomba kujua pamoja na Yanga SC kuchukua Vikombe vitatu kwa Msimu huu je, mpaka sasa katika Viwango vya CAF ipo ya ngapi kulinganisha na Simba SC?

Naomba kujua pamoja na Yanga SC kuchukua Vikombe vitatu kwa Msimu huu je, mpaka sasa katika Viwango vya CAF ipo ya ngapi kulinganisha na Simba SC?

Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Mpira halisi ni ule mbashara siyo wa kwenye karatasi.msimu huu simba hana kikombe wala bakuli ndani ya nchi na nje.Ukweli ni mtu ashinde ndo anaheshimika
 
Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Haya ni mambo mawili tofauti.
Kama unazungumzia AFRICA iwe hivyo.
Kama ni mashindano ya ndani iwe hivyo!
Sasa unauliza swali moja kutaka kujua vitu viwili tofauti???
 
Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Ni ndoto ya kila timu/wachezaji kote duniani kuchukua makombe/kuvaa medali/ kunyanyua makwapa! Na siyo bla bla tu za ranking!!
 
Hizi ni dalili za awali za mtu kuchanganyikiwa. Halahala akiwahiwa anapona huyu kabla hajaanza kujivika chupi kichwani
 
Tunachojua yanga kamaliza na pointi 82 na umo kolo amechangia pointi 6 sa apo uamue mwenyewe nani ni mtepeto
 
1751284653317.jpg
 
Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Timu ni makombe si hivyo virank mchongo,haya mko kumi bora afrika mna kombe gani la afrika? Mna fainali moja shirikisho ambayo pia yanga anayo....
 
Wewe umeenda mkuu? Huko Manchester na Madrid?
Tunza Afya ya Moyo wako KWA KUIKATAA ROHO YA WIVU MBAYA. Majibu ya wana Simba wengi yanaonyesha maumivu ya ndani kumoyo.
 
Cha muhimu Yanga wameshinda makombe na wameweka historia katika Nchi.
 
Back
Top Bottom