Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Umeenda huko?Tunza Afya ya Moyo wako KWA KUIKATAA ROHO YA WIVU MBAYA. Majibu ya wana Simba wengi yanaonyesha maumivu ya ndani kumoyo.
Umeenda huko?Tunza Afya ya Moyo wako KWA KUIKATAA ROHO YA WIVU MBAYA. Majibu ya wana Simba wengi yanaonyesha maumivu ya ndani kumoyo.
Kama unajua simba IPO katika top 10 kwanini umetuuliza swali wakati jibu lake unalo.?Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Mpira pesaHaaahaaa!!
Simba mnapata tabu sana kutafuta chaka la kujifichia.
Nenda England uone kama Manchester United, Man City, Liverpool wanajivunia rank za UEFA, au nenda Spain uwaulize Barcelona na Real Madrid kama kuchukuwa ubingwa na kuwa nafasi za juu UEFA ni kipi kitu CHENYE HESHIMA.
Furaha na heshima ya timu ni MAKOMBE.