tungatagaga
JF-Expert Member
- Aug 18, 2024
- 686
- 928
Mpira halisi ni ule mbashara siyo wa kwenye karatasi.msimu huu simba hana kikombe wala bakuli ndani ya nchi na nje.Ukweli ni mtu ashinde ndo anaheshimikaNa kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Haya ni mambo mawili tofauti.Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Ni ndoto ya kila timu/wachezaji kote duniani kuchukua makombe/kuvaa medali/ kunyanyua makwapa! Na siyo bla bla tu za ranking!!Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Hayo makombe washabiki wanaingiziwa?Hakuna shabiki anayefurahia pesa kwasababu hakuna pesa zinazogaiwa kwa mashabiki, fulaha ya shabiki ni mataji ( makombe)
Labda vimeipa klabu pesaViwango vimekupa makombe mangapi?
Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Kwasababu hawana kombe hata moja!Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Timu ni makombe si hivyo virank mchongo,haya mko kumi bora afrika mna kombe gani la afrika? Mna fainali moja shirikisho ambayo pia yanga anayo....Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Ulinganifu huu wa simba dhidi ya yanga ndio mkwamo wa simba,pole Genta.Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Tunza Afya ya Moyo wako KWA KUIKATAA ROHO YA WIVU MBAYA. Majibu ya wana Simba wengi yanaonyesha maumivu ya ndani kumoyo.Wewe umeenda mkuu? Huko Manchester na Madrid?
Nakazia..Hakuna shabiki anayefurahia pesa kwasababu hakuna pesa zinazogaiwa kwa mashabiki, fulaha ya shabiki ni mataji ( makombe)
Bangi mbaya sana ukiendekeza. unasema yanga imechukua vikombe vitatu?π€Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?