Haaahaaa!!
Simba mnapata tabu sana kutafuta chaka la kujifichia.
Nenda England uone kama Manchester United, Man City, Liverpool wanajivunia rank za UEFA, au nenda Spain uwaulize Barcelona na Real Madrid kama kuchukuwa ubingwa na kuwa nafasi za juu UEFA ni kipi kitu CHENYE HESHIMA.
Furaha na heshima ya timu ni MAKOMBE.