The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Tunajua ratiba ya kampeni zake ina-resume kesho tarehe 4/10/2020....
Aidha kuna hizi "tetesi" kuwa, kampeni zake ziko suspended kwa siku 7 hadi tarehe 9/10/2020 kama adhabu ya "kikiuka sheria za mchezo"....
Upande wa pili, amekataa kuutambua uamuzi huo kwa sababu ni " batili kisheria" na kwa kuwa umefanyika pasipo kufuata utaratibu wa kikanuni kushughulikia malalamiko dhidi yake...
Ninavyomfahamu huyu "mwamba", ni kuwa, huwa akisema jambo basi hulitenda sawia....!
Naomba kujua ratiba ya kampeni zake kesho kwa sababu lazima ataanza awamu ya 3 na ya mwisho ya funga kazi....
Na je, tutarajie kuanza rasmi kwa "physical confrontation " kati ya Tundu Lissu na NEC ikisaidiwa na polisi kama juhudi zake ku - enforce adhabu waliyoitoa?
Nini kitatokea?
Surely, I am so anxious to know what exactly is going to happen starting tomorrow or the day after tomorrow....!
HAKI vs DHULUMA... Nani atashinda?