Naomba kujua sifa za Wamakonde na Wasambaa

Umeamka sasa chafujo 😂 😂
Kwahiyo kwao umeona vizigino tu?
Wewe unataka kuwajua Wamakonde wepi? Maana wamegawanyika na kila kundi lina tabia yake kwa hio usije ukasikia Wamakonde ukajua ni kundi moja hapana Mmakonde wa Mashariki na Mmakonde wa Magharibi hawafanani, hata kuoana zamani ilikua wanaulizana unatokaje Magharibi unaenda kuoa Mashariki sababu wanaelewana wenyewe
 
Ni kweli, ila wakati mwingine kuna mjumuiko wa sifa na tabia ambazo unazikuta zaidi ndani ya kabila au jamii flani ya watu kuliko kwa wengine.

Mfano Wachaga na kuwa na sifa ya nidhamu ya fedha na mafanikio ya kibiashara (siyo wote ila ni wengi zaidi wenye sifa hizo kuliko makabila mengine, kwa hiyo wanatambulika hivyo.)
 
Ni kweli wamakonde na wagogo tunakutana nao sana barabarani kuliko makabila mengine.
Achana na barabarani sasa ukae nae pamoja ndio utaimba vizuri
Utaombwa kiasi ukiwa na kitu unakuwa na deni naye
Yaani wanaomba mpaka utaanza kujificha kutumia vitu vyako mwenyewe sio me wala ke.
Halafu cha kushangaza wao wagumu kutoa
 
Kuna makabila uchafu uko kwenye damu
Kuna makabila wanawake hawajui kupika
Kuna makabila uvivu ni asili yao nknk
 
Tabia ni hulka ya mtu tu wala haihusiani na ukabila...
Japo hamchelewi kusema sisi wanyaturu ni vicheche... [emoji1]
Mila tamaduni na desturi za kabila Fulani zinaweza kuathiri tabia ya mtu, mfano wadada wa kizaramo kutingisha makalio kwenye vigoma ni tabia ambayo imekuja baada ya desturi na mila zao.
 
Wamakonde omba omba halafu wanalalamika sana
Mzee wewe unazungumzia Wamakonde wepi? Maana kuna Wamalaba (wamechanja) kutoka Msumbiji nao ni Wamakonde na tunaishi nao Tanzania, kuna Wamakonde waliopo Magharibi ya Mkoa wa Ntwara, kuna Wamakonde waliopo Mashariki ya Mkoa wa Ntwara, kuna Wamakonde waliopo Kasikazini ya Mkoa wa Ntwara na Wamakonde waliopo Kusini ya Mkoa wa Ntwara, wewe unazungumzia wepi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…