Naomba kujua sifa za Wamakonde na Wasambaa

Kumbuka mmakonde si ntu, halafu inategemea ntu na ntu.
Wana roho ya kwa nini, yaani apate yeye tu
 
Hongera sana, nafikiri umebahatika kupata mwanamke bora kabisa wa kisambaa.
 
Sawa nimeona, ndiyo urembo wao.
At least umeonyesha jinsi gani umeelimika, maana kuna watu wanaandika humu hata hawajui historia za makabila, wawe wanaangalia Tanzania Safari Channel inaonyesha hizo mambo siku hizi itawasaidia juzi walirusha kipindi kilikua kinaonyesha Tamaduni za Wapare
 
Kumbuka mmakonde si ntu, halafu inategemea ntu na ntu.
Wana roho ya kwa nini, yaani apate yeye tu
Na kisaikolojia kila binadamu ameumbwa na u-mimi yaan u-binafsi sio wamakonde tu km unavyosema hio ni kila binadamu ameumbwa nayo hata wewe hapo ni m-binafsi ukifanya transformation unagundua una roho ya kwanini yaan ni km kujiuliza kwanini huyu amekuja sasa hivi hapa ameitwa ofisini wakati mimi nimekaa hapa tangu saa 1 asubuhi mpaka hii saa 11 Jioni sijaitwa ? Huo ndio u-binafsi ulivyo kila binadamu ameumbwa nao
 
Hongera sana, nafikiri umebahatika kupata mwanamke bora kabisa wa kisambaa.
100% huwa namlinda kama lulu! na hapa mtaani wananijua huwa sicheki na mtu hasa akileta ujinga kwa wife!
Maana wengine tumebahatika alafu kuna wale waharibifu aiseeh mtu anaweza lamba mchanga kwa kutaka kuharibu amani yetu!

NB; Pia yeye ni muislam lakini anasali sana/maombi kuliko hawa wenye dini wenyew! huwa ananiombea mema sana na ni mvumilivu sana. Anapiga maombi huyo kwelikweli mpaka mbingu zinafunguka.
 
Ila mbona kuna makabila mengine kama baadhi ya yale ya kanda ya ziwa, tunasikia wana sifa za ukarimu zaidi kuliko ubinafsi?
 
Ila mbona kuna makabila mengine kama baadhi ya yale ya kanda ya ziwa, tunasikia wana sifa za ukarimu zaidi kuliko ubinafsi?
Unazungumzia u-binafsi upi? Mimi naweza nikakwambia kwamba kabila ambalo sio wabinafsi at least kidogo Wasambaa, Waha na Wasukuma sababu ndio watu ninaoenda nao sawa katika maisha yangu ya kila siku yaan ni watu ambao wapo ndani ya jamii yangu nakutana nao kila siku kila siku, utanikatalia au utanilazimisha nikiamini unachokiamini wewe?
 
Wamakonde kama wazaramo tu akili zipo mbali sana na mwili wao, yaani wengi kichwani ni empty tin so wanafanya chochote cha Aibu kionekane cha kawaida, yaani mfano ukiwa na pesa huko kwao unapita na mama , na watoto na baba yao Hana Sauti
 
Mmakonde kajibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wa lushoto huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…