Mkataa kwao Mtumwa mkuu, kwanini nisijibu?Mmakonde kajibu ππππππ
Wasambaa, Wadigo, na Wabondei ni watu poa sana. Wote nimepita nao nawaelewa sana.Wa lushoto huyo?
Kila mwene Avena kwaoMkataa kwao Mtumwa mkuu, kwanini nisijibu?
Hii kweli ipoKila mwene Avena kwao
Ndio maana tunasema mmakonde si mtu, acheni roho mbayaπππππππ
Anaweza kutoka na nkewe huko masasi, akifika njini anamwita dada yake na kumuozesha kwa Mwanaume mwingine
Hawa jamaa tukianza kuwaanika Singida na Mbulu inaweza ikasubiriHii kweli ipo
Unakuta mwanamke anakuja kutafuta mjini anaolewa kabisa au anadanga na anachopata anampelekea mume wake aliyemwacha kijijini huko na mume wala hamind na anajua mke wake anatoa wapi hela.
Hii tabia huwa inanishangaza sana πHii kweli ipo
Unakuta mwanamke anakuja kutafuta mjini anaolewa kabisa au anadanga na anachopata anampelekea mume wake aliyemwacha kijijini huko na mume wala hamind na anajua mke wake anatoa wapi hela.
Ah! nimechanganya na kabila jingine.Hapana hilo nabisha
yapWa lushoto huyo?
Inasemekana wanapenda mikia mirefu πAkina harmonize hao
Mkuu unataka kuoa huko au nini?Kesi ishakua ngumu π€¦ββοΈ
Wenye uzoefu wa tabia, sifa na hulka za haya makabila mawili naomba mnijuze maana β¦β¦β¦β¦β¦..
View attachment 3410435
Inasikitisha sana πWamakonde kama wazaramo tu akili zipo mbali sana na mwili wao, yaani wengi kichwani ni empty tin so wanafanya chochote cha Aibu kionekane cha kawaida, yaani mfano ukiwa na pesa huko kwao unapita na mama , na watoto na baba yao Hana Sauti
Hapana hakuna mpango kama huoMkuu unataka kuoa huko au nini?