Naomba kujua tofauti kati ya Kung Fu na Karate

Joined
Jan 19, 2020
Posts
42
Reaction score
80
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kufahamu zaidi tofauti ya michezo ya ngumi hususani KUNG FU na KARATE.

Leo naombeni kujua hili kwa wanao fahamu

Natanguliza shukurani sana na mungu awabariki!
 
Kung Fu hili neno la kichina
Karate la kiingereza

Tai chi nayo inamaana gani
 
Tai chi ipo ndani ya kungfu........kungfu ina mapigo tofauti...moja wapo ni hio tai chi
Tai Chi sio kung fu bali mgunduzi wa Tai Chi alikuwa ni Shaolin kabla hajaaanzisha Wudang/Wutang.

Kung fu ni external martial Arts ambayo ni real hata mimi na wewe tunaweza kujifunza.

Tai Chi ni internal martial Arts, yenyewe inafocus na internal energy, kama umewahi kuona movie za kichina watu wana meditate, kunakuwa na Qi, mtu anatembea juu ya maji ama anakanyaga nyasi anakimbia. Hio ndio internal energy. Most of time ni myth na fantasies.

Sanfang huyu jamaa ndio alianzisha Tai chi, alikuwa ni monk wa Shaolin akaondoka akaanzisha sect yake inaitwa wudang. Yeye aliamini zaidi kwenye Internal energy (Tai chi) na Shaolin waliamini zaidi kwenye External energy (Kung fu)
 
Kwahio nayo ni mapigano ama meditation tu.....
 
Nimepata kitu hapa.
Wengi tulijua Tai Chi ni miongoni mwa mazao ya Kung-fu.
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kufahamu zaidi tofauti ya michezo ya ngumi hususani KUNG FU na KARATE.

Leo naombeni kujua hili kwa wanao fahamu

Natanguliza shukurani sana na mungu awabariki!
"Kara" maana yake ni silaha,"te"maana yake ni mikono mitupu.
Kwa hiyo Karate maana yake ni silaha ya mikono mitupu.
Kusema silaha ya mikono mitupu maana yake ni kutumia viungo vya mwili Bila kifaa chochote kwa Akili ya silaha.
Viungo maarufu vya mwili vinavyotumika kama silaha ni mikono na miguu.

Mikono kazi yake ni kupiga ngumu na mapigo mengine na kuzuia.
Miguu kazi yake ni kupiga mateke.

Karate ni neno la kijapani kwa hiyo Karate ni ya wajapani.

Kung fu
Kung fu ni kwa wachina nayo maana yake sio zaidi ya Karate ni njia za kujilinda kwa kutumia viungo vya mwili kama kushambulia na kijinga.

Karate na kung fu baadae wakaongeza silaha lakini silaha zenyewe ni za jadi.

Kuna aina mbalimblia za kung fu na karate.
Kwenye kung fu
Kuna
Shaolin
Tai chi chuan
Wushu
N,k

Karate
Kuna
Goku ryu
Goku kai
Shotokan
N.k
 
Kwahio nayo ni mapigano ama meditation tu.....
mapigano lakini yasioyotumia nguvu ya nje bali internal energy, hilo neno CHI linamaanisha nguvu za ndani ambazo hupatikana kwa kumeditate, na njia nyengine za kufikirika.

angalia hii clip mtu akipigana kutumia Tai chi
 
"Kara" maana yake ni silaha,"te"maana yake ni mikono mitupu.
Kwa hiyo Karate maana yake ni silaha ya mikono mitupu.
Kusema silaha ya mikono mitupu maana yake ni kutumia viungo vya mwili Bila kifaa chochote kwa Akili ya silaha.
Viungo maarufu vya mwili vinavyotumika kama silaha ni mikono na miguu.

Mikono kazi yake ni kupiga ngumu na mapigo mengine na kuzuia.
Miguu kazi yake ni kupiga mateke.

Karate ni neno la kijapani kwa hiyo Karate ni ya wajapani.

Kung fu
Kung fu ni kwa wachina nayo maana yake sio zaidi ya Karate ni njia za kujilinda kwa kutumia viungo vya mwili kama kushambulia na kijinga.

Karate na kung fu baadae wakaongeza silaha lakini silaha zenyewe ni za jadi.

Kuna aina mbalimblia za kung fu na karate.
Kwenye kung fu
Kuna
Shaolin
Tai chi chuan
Wushu
N,k

Karate
Kuna
Goku ryu
Goku kai
Shotokan
N.k
Nakusahihisha "te" ni neno la kilingala likimaanisha "no" so kara te maana yake ni bila silaha
 
Back
Top Bottom