Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujasusi ni ugaidi wa kiistaarabuWasalaam,
Naomba kujua tofauti Kati Ugaidi na Uajsusi,hasa kwenye vitendo.
Kwa mfano watu wa nchi moja wakie da nchi nyingine na kumuua mtu Fulani wa nchi nyingine,nchini kwake
ama akiwa nchi nyingine ambaee kimsingi hao wauaji wamemuona kua mtu huyo kweli Ni hatari kwa maslahi au Usalama wa nchi yao au raia wao.
Je kitendo hicho Ni kitendo Cha kijasusi ama kitendo Cha kigaidi?
Naomba tofauti Kati ya Ujasusi na Ugaidi.
Mbona ujasusi ni kitu rasmi?Vyo
Ujasusi ni ugaidi wa kiistaarabu
Ni kweli kabisa Sir ChiefUgaidi inategemea ni upande gani unatafsiri.
Upande unaoshambuliwa unaweza tafsiri waliowashambulia kama magaidi,ila upande unaoshambulia unaweza tafsiri kama wapigania uhuru/wapigania haki.
kwa mantiki hiyo,Mpelelezi anayekwenda kuua nchi nyingine,anaweza tafsiriwa kama gaidi(International terrorism) au lah,inategemea na aliyeshambuliwa atamuitaje.
So gaidi ni tafsiri tu inategemea ni upande gani una nguvu ta kusambaza iyo tafsiri.Mfano marekani lile shambulio la 2001,walimuita Osama gaidi,ila kwa upande wa kula Alquida/Taliban Osama na wale vijana waliogonda jengo wataonekana kama fredom fighters.
So,yeyote anaweza kuwa gaidi ni tafsir tu.
Mbona ujasusi ni kitu rasmi?
Umefafanua kigaidi. HahahaaaaaUgaidi ni uhuni ulio vuka level za kuwazingua washikaji mtaani hadi kufikia hatua za kuizingua nchi,
ujasusi ni umbea wenye manufaa
Asante mkuuUgaidi inategemea ni upande gani unatafsiri.
Upande unaoshambuliwa unaweza tafsiri waliowashambulia kama magaidi,ila upande unaoshambulia unaweza tafsiri kama wapigania uhuru/wapigania haki.
kwa mantiki hiyo,Mpelelezi anayekwenda kuua nchi nyingine,anaweza tafsiriwa kama gaidi(International terrorism) au lah,inategemea na aliyeshambuliwa atamuitaje.
So gaidi ni tafsiri tu inategemea ni upande gani una nguvu ta kusambaza iyo tafsiri.Mfano marekani lile shambulio la 2001,walimuita Osama gaidi,ila kwa upande wa kula Alquida/Taliban Osama na wale vijana waliogonda jengo wataonekana kama fredom fighters.
So,yeyote anaweza kuwa gaidi ni tafsir tu.
NdioImewahi Kutokea miaka ya nyuma na ya hivi karibuni Majasusi wa Mossad kwenda Nchi mabalimabali kuwaua viongozi wa Kipalestina waliokua tishio kwa usalama wa Taifa la Israel.
Wamewaua kwa njia mabalimabali ikiwa Ni pamoja na kuwategea mabomu,kuwalenga kwa bastola,Bunduki na vipigo.
Mauaji haya yalifanyika Nchi za Ulaya na Afrika ya Kaskazini.
Je Mossad kama shirika rasmi la ujasusi walifanya Ugaidi dhidi ya viongozi hao wa Kipalestina?
Imewahi Kutokea miaka ya nyuma na ya hivi karibuni Majasusi wa Mossad kwenda Nchi mabalimabali kuwaua viongozi wa Kipalestina waliokua tishio kwa usalama wa Taifa la Israel.
Wamewaua kwa njia mabalimabali ikiwa Ni pamoja na kuwategea mabomu,kuwalenga kwa bastola,Bunduki na vipigo.
Mauaji haya yalifanyika Nchi za Ulaya na Afrika ya Kaskazini.
Je Mossad kama shirika rasmi la ujasusi walifanya Ugaidi dhidi ya viongozi hao wa Kipalestina?
Pia elewa kitendo cha kukusanya taarifa za siri iwe nchini kwako au kwenye nchi nyingine huo ni ujasusi sasa itategemea ni wapi taarifa hizo ulipoagizwa au zitakwenda kutumika kivipi, zikitumika kwa ajili ya kudhuru jamii au kuitia hofu huo ndio ugaidi sasa. Na hao waliotumia taarifa hizo katika kuidhuru jamii/ kuitia hofu hao ndio magaidi.Imewahi Kutokea miaka ya nyuma na ya hivi karibuni Majasusi wa Mossad kwenda Nchi mabalimabali kuwaua viongozi wa Kipalestina waliokua tishio kwa usalama wa Taifa la Israel.
Wamewaua kwa njia mabalimabali ikiwa Ni pamoja na kuwategea mabomu,kuwalenga kwa bastola,Bunduki na vipigo.
Mauaji haya yalifanyika Nchi za Ulaya na Afrika ya Kaskazini.
Je Mossad kama shirika rasmi la ujasusi walifanya Ugaidi dhidi ya viongozi hao wa Kipalestina?
DohUmefafanua kigaidi. Hahahaaaaa
Mimi leo najifunza kaka...Unazingua bana,
Funguka kidogo bingwa.
Au tukutafutie Konyagi mwitu?