Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
AsanteKipaji, uwezo maalum (wa kufanya) wa mtu katika utendaji au ufanyaji wa jambo. Kuimba, kupiga / kutumia chombo/ kifaa
Kipawa,, uwezo maalum (wa kiakili/ ufahamu) wa mtu katika kutafakari, kutabiri mambo yasiyo wazi kwa uelewa wa kawaida.
Karama, uwezo maalum (ukihusishwa kiimani) wa mtu unaomtokea kwa bahati au majaaliwa ya Mungu.
Upatanishi penye kutoelewana, mvuto Kwa umma.
Kipaji, uwezo maalum (wa kufanya) wa mtu katika utendaji au ufanyaji wa jambo. Kuimba, kupiga / kutumia chombo/ kifaa
Kipawa,, uwezo maalum (wa kiakili/ ufahamu) wa mtu katika kutafakari, kutabiri mambo yasiyo wazi kwa uelewa wa kawaida.
Karama, uwezo maalum (ukihusishwa kiimani) wa mtu unaomtokea kwa bahati au majaaliwa ya Mungu.
Upatanishi penye kutoelewana, mvuto Kwa umma.
Naam!!Natumae melata mada umepata muongozo...