Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Centirifuge machine ule mtambo ni noma sana una separate everythingPEP inasimama baada ya Post Exposure Prophylaxis , yaani unajikinga kutokana na janga lilikokupata licha ya kutokuwa na uhakika wa kuwa umeambukizwa.
ARV ni Antiretroviral ni dawa inayotumika kufubaza virusi vya ukimwi
Hivyo PEP ni dawa katika kundi la ARV ila sio kila ARV ni inaweza kutumika kama PEP.
Dawa uliyopewa wewe kwa code hiyo ni Tenofovir , Lamivudine & Dolutrgravir hivyo wewe umepewa PEP ambayo ni ARV pia utatakiwa kutumia halafu ufanye vipimo tena.
Kama unahitaji uhakika zaidi unaweza kufanya PCR [sijui kwa Tanzania kama ipo vituo vyote hata ngazi ya chini].