Naomba kujua tofauti ya uzalendo na Uzuzu

Naomba kujua tofauti ya uzalendo na Uzuzu

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Ndugu zangu wanajf naomba kujua tofauti ya uzalendo na uzuzu. Naomba kuwasilisha sitegemei mitusi
 
Uzalendo ni kuipenda na kuwa tayari kuipigania hata kuifia nchi yako dhidi ya Maadui wa nje na ndani yà nchi wanaokuwa kinyume cha Ustawi wa Wananchi.

Uzuzu ni kitendo cha kupenda watu Fulani wawe viongozi au watu maarufu na kuwa tayari kuwatetea katika Hali yoyote bila kujali hata kama wanayofanya yako kinyume na Ustawi na maslahi ya Wananchi.
 
Zuzu ni kama zelesky
Mzalendo ni kama Putin
Hili jibu LA level ya degree unatakiwa umchambue zelesky na Putin utaelewa vema
 
Back
Top Bottom