Uzalendo ni kuipenda na kuwa tayari kuipigania hata kuifia nchi yako dhidi ya Maadui wa nje na ndani yà nchi wanaokuwa kinyume cha Ustawi wa Wananchi.
Uzuzu ni kitendo cha kupenda watu Fulani wawe viongozi au watu maarufu na kuwa tayari kuwatetea katika Hali yoyote bila kujali hata kama wanayofanya yako kinyume na Ustawi na maslahi ya Wananchi.