NAOMBA KUJUA TOFAUTI ZA KOZI ZA MASTERS ZIFUATAZO.

GOSSO MZEKEZEKE

Senior Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
180
Reaction score
204
Habari wana JF
Kuna kozi nataka kusoma ila naomba ushauri wenu, nijue tofauti zake kwanza na ipi bora, kuna MSc in PROJECT PLAANING AND MANAGEMENT inatolewa IAA, BBA in PROJECT MANAGEMENT inatolewa TIA na Msc in PROJECT PLANNING, MONITORING AND EVALUATION inatolewa IRDP. Naombeni maoni ili nifanye maamuzi sahihi.
 
Tofauti ni ndogo Sana lakin msingi ni mmoja project management japo yenye bba Ina naona iko poa Zaidi utosoma pia bisness management
 
Habari wana JF
Kuna kozi nataka kusoma ila naomba ushauri wenu, nijue tofauti zake kwanza na ipi bora, kuna MSc in PROJECT PLAANING AND MANAGEMENT inatolewa IAA, BBA in PROJECT MANAGEMENT inatolewa TIA na Msc in PROJECT PLANNING, MONITORING AND EVALUATION inatolewa IRDP. Naombeni maoni ili nifanye maamuzi sahihi.
ili upate ushauri mzuri ungesema upo wap na unafanya nini, unataka kufanya masters ili nini, bachelor ulifanya nini? manake kama upo kwenye tasnia ya projects basi monitoring and evaluation inaweza kuwa nzuri Zaid Ila kama huna Ajira kabisa fanya project management.
 
Nilifanya degree ya statistics, na sasa nimeajiriwa kama afisa mipango kwenye moja ya ofisi za serikali. Nahitaji masters ili kukuza carrier yangu.
kama ni kukuza carrier yako fanya masters inayoendana na bachelor yako maana serikalini ukifanya kitu cha tofauti huwez fanyiwa recategorization maana masters haitambuliki, utajikuta unachezea muda na hela
 
Back
Top Bottom