GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Tofauti ni ndogo Sana lakin msingi ni mmoja project management japo yenye bba Ina naona iko poa Zaidi utosoma pia bisness managementHabari wana JF
Kuna kozi nataka kusoma ila naomba ushauri wenu, nijue tofauti zake kwanza na ipi bora, kuna MSc in PROJECT PLAANING AND MANAGEMENT inatolewa IAA, BBA in PROJECT MANAGEMENT inatolewa TIA na Msc in PROJECT PLANNING, MONITORING AND EVALUATION inatolewa IRDP. Naombeni maoni ili nifanye maamuzi sahihi.
Thanks kwa ushauriTofauti ni ndogo Sana lakin msingi ni mmoja project management japo yenye bba Ina naona iko poa Zaidi utosoma pia bisness management
ili upate ushauri mzuri ungesema upo wap na unafanya nini, unataka kufanya masters ili nini, bachelor ulifanya nini? manake kama upo kwenye tasnia ya projects basi monitoring and evaluation inaweza kuwa nzuri Zaid Ila kama huna Ajira kabisa fanya project management.Habari wana JF
Kuna kozi nataka kusoma ila naomba ushauri wenu, nijue tofauti zake kwanza na ipi bora, kuna MSc in PROJECT PLAANING AND MANAGEMENT inatolewa IAA, BBA in PROJECT MANAGEMENT inatolewa TIA na Msc in PROJECT PLANNING, MONITORING AND EVALUATION inatolewa IRDP. Naombeni maoni ili nifanye maamuzi sahihi.
kama ni kukuza carrier yako fanya masters inayoendana na bachelor yako maana serikalini ukifanya kitu cha tofauti huwez fanyiwa recategorization maana masters haitambuliki, utajikuta unachezea muda na helaNilifanya degree ya statistics, na sasa nimeajiriwa kama afisa mipango kwenye moja ya ofisi za serikali. Nahitaji masters ili kukuza carrier yangu.