Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Nimezunguka sehemu nyingi Hasa mikoa ya pwan naona wanajenga vihifadhi maji vya chini. Ndan ya ardhi. Sasa mimi nimeona kwangu havitanifaaa. Nataka nijenge kisima Cha kuhufadhi maji Cha juu, sio Cha ardhini chini.
Sasa nataka kujua ubora wake na nini Cha kuzibgatia Kwan nataka nitumie tofali za block za nchi 6 na nijenge kwa kulaza lkn naona haya maeneo nilipo wengi wamejenga vya ardhini.
Lakini nilibahtika kutembelea kma moshi huko wengi wanajenga vya juu ya Ardhi Jpo wanatumia mawe wengi. Na nirahis sana kwenye kuyatumia maji yaloyohifadhiwa kwa njia hii.
Kwan unateka kma bomban kawaida..sasa Niko huku pwan visima hiv sivion naona wengi wananunua matenki ya dukan au visima vya chini.
Nishaurin jaman.. kujenga kwangu naona nitaweza kuvuna maji ya mvua mengi Kwan sehemu nilipo changamoto ya maji ni kubwa. Pia kuyatumia itakuwa rahis. Ahsante.