Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Tutasikia soon kapata mke sasa
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
HaaahaaaHuku njoo baada ya kupata kazi BRELA. Utashauriwa wapi na jinsi gani ya kutumia mshahara wako. Pengine ukapata hata wa kutumia nao.
Tofauti na hapo utaambulia majibu ya shombo tu kwa sasa. Huku lete mada za kufumaniwa, kufinyiwa ndani, style mpya ya kunyanduana n.k
#YNWAHuku ni mahaba tu mzee
Hongera Kwa kupata uhamishoWajumbe salama?
Nimekua nikitafuta Taarifa juu ya MISHAHARA ya BRELA.
Katika kutafuta kwangu nikasoma sehemu kwamba BRELA kwenye mishahara wanafanana na Halmashauri...!!!
Kwa entry level ya Bachelor ya 3 Yrs...
1. Registration Officer II
2. License Officer II
3. Legal Officer II
Mshahara = BRS 6.1 (BRELA) = TGS D.1 (Halmashauri) = Basic Salary = 750,000/=
1. Kuna ukweli wowote kwamba zile BRS level ni sawa na TGS levels?
2. Kama ni uongo, Je ukweli ni upi?
#YNWA
Naomba jibu la maswali mawili hayo ya mwisho....Hongera Kwa kupata uhamisho
Sifahamu mkuuNaomba jibu la maswali mawili hayo ya mwisho....
#YNWA