Naomba kujua umri wa Boka, nahisi kaja kula pensheni yake

Naomba kujua umri wa Boka, nahisi kaja kula pensheni yake

Umri wake ni mkubwa kama Aucho na Chama au Beleke na Kuumia nadhani ni kawaida ila first touch zake ni nzuri akizoea team anaweza kucheza vizuri sana
 
Yanga tumesajili beki mpya wa pembeni Boka.

Anachukua nafasi ya Lomalisa. Jana alicheza dakika 10 tu akatoka nje kwa majeraha.

Naomba kujua umri wa huyu veteran wetu mpya? Kuna hesabu napiga hapa…
Umri wa mpira ni 24, sina uhakika na umri wake wa kuzaliwa.
 
Umri wake ni mkubwa kama Aucho na Chama au Beleke na Kuumia nadhani ni kawaida ila first touch zake ni nzuri akizoea team anaweza kucheza vizuri sana
Ni kweli mkuu katika kitu ambacho sio cha kiwaamini wachezaji wa kiafrika basi ni hapo kwenye umri, hata miaka 27 ya pacome huwa nina wasiwasi nayo sana. Kwa uwezo alionyesha boka jana inaoneka ni mchezaji mzuri ana control nzuri na akifika kwenye final third ya mpinzani anatuliza akili kabla ya kupiga krosi sio zile papala za kibabage.
 
Yanga tumesajili beki mpya wa pembeni Boka.

Anachukua nafasi ya Lomalisa. Jana alicheza dakika 10 tu akatoka nje kwa majeraha.

Naomba kujua umri wa huyu veteran wetu mpya? Kuna hesabu napiga hapa…
Umri wake utaujua TRH 8 na kwenye mashindano rasmi klabu bingwa, FA na ligi kuu, usiwe na haraka!
 
TASAF FC ulitegemea wachezaji wawe na umri Gani! Mtafute mratibu wa TASAF wilayani kwako atakupa ufafanuzi zaidi.
Asante
 
Back
Top Bottom