MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Una uhakika kuwa hata Mbowe nae ingetokea angekuwa Rais wa Tanzania huu Utaratibu ambao KEROZENE siioni Aibu wala Uwoga kuuita ni wa Kizuzu nae asingeufuata?Mtu ukishakuwa mwanasiasa automatically unakuwa zero brain. Kasoro Mbowe tu ndio mwanasiasa ambae ana akili.
Nimesema tu ukweli mkuu. Mimi sio mchadema lakini kweli Mbowe ni mwanasiasa mwenye busara sana. Mbona nisingesema upinzani wote wana akili?Una uhakika kuwa hata Mbowe nae ingetokea angekuwa Rais wa Tanzania huu Utaratibu ambao KEROZENE siioni Aibu wala Uwoga kuuita ni wa Kizuzu nae asingeufuata?
Nasikitika umejibu Kiitikadi zaidi na siyo Kiuhalisia na hili ndilo limekuwa tatizo letu Kubwa Watanzania wengi siku hizi kwa Kupenda Kuhemka kwa Itikadi zetu za Kisiasa na siyo kwa Kufikiri vyema.
Hutaki?Na je, tunapoelekea Kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wetu Tanzania utaratibu huu bado una Tija ya Kimaendeleo Kwetu au ni Utaratibu wa Kikoloni ambao kwa sasa unatufanya tuendelee kuonekana Mazuzu Kimataifa?
KEROZENE nasubiri tu Michango yenu.
Je, tukiitwa ni Mazuzu tutakuwa tunaonewa au tunakosewa? Ni Utaratibu wa Kinafiki ambao nahisi unataka kumuonyesha Mtu fulani kuwa ndiyo Mungu Mtu kwa Watanzania ( Waswahili ) wote.Inasikitisha sana yaani raisi akitoka na kurejea nchini ni rundo la viongozi yaani hadi makamu wa rais anaenda kumpsindikiza na kumpokea kweli ni upuuzi wa kiwango cha lami.....Mi nadhani ingependeza kuwe na mkuu wa wilaya na kamati yake basi.
Unajitahidi mno Kujificha, ila wenye Akili Kubwa kwa Uwasilishaji wako hapa uliojaa Machungu kwa Serikali ya CCM na Mahaba yako kwa Freeman Mbowe unaonyesha kabisa Wewe ni mwana CHADEMA 100% na sijui ni kwanini unaogopa Kujitanabaisha hivyo.Nimesema tu ukweli mkuu. Mimi sio mchadema lakini kweli Mbowe ni mwanasiasa mwenye busara sana. Mbona nisingesema upinzani wote wana akili?
Dah ....nchi ngumu Sana..Mantiki ni kuhakikisha tozo za miamala zinatumika ipasavyo
hakuna logic ya viongozi kurundikana airportNa je, tunapoelekea Kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wetu Tanzania utaratibu huu bado una Tija ya Kimaendeleo Kwetu au ni Utaratibu wa Kikoloni ambao kwa sasa unatufanya tuendelee kuonekana Mazuzu Kimataifa?
KEROZENE nasubiri tu Michango yenu.