Naomba kujua utaratibu wa Kumtoa Mtu kwenye Orodha ya wanufaika wa Bima ya Afya

Ingawa hujanitukana mimi, lakini huwa nachukia sn matusi. Mbona kaeleza bila matusi wewe umeshindwa nini kumjibu kistaarabu. Wakat mwingine tunalazimisha ban
Samahani naomba nilitoe neno kenge ila bwege libaki, vitu vingine saa nyingine vinachukiza jua hivyo jaribu kuandika kwa kutokutumia hisia na uanamke wako, wewe pia utakuwa wale "single mother"
 
Sasa utabadilisha nakuapa marangapi kama kila atakae kuvua hio chupi unataka kumweka kwenye bima nakumtoa wamwanzo
 
Nenda polisi kachukue loss report kisha nenda ofisi ya bima katika wilaya husika watakupa control no. Ya kulipia 20,000 kisha baada ya siku kadhaa utapata
Majibu ya maswali yako yote piga namba ya customer care ipo nyuma ya card ya mwanachama. Acha kutochosha humu Jf tunajadili mambo makubwa kwa mapana yake na sio person issue na uishia hapo usiulize tena
 
Umeongea kwa hisia kali
 
Dah itakuwa kakukera kishenzi,ila kama mna watoto naona ni busara umwache mzaz mwenzio aendelee kunufaika,mengine haya tunajipunguzia baraka ndogo ndogo.
Huu ni ushauri wa kiungwana sana nadhani mtoa mada ataingiwa na hofu ya mungu.
 
Mimi nimeachana na baby mama wangu tena yeye ndiyo kaniacha lakini nampa matumizi akiomba kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…