Naomba kujua utaratibu wa wanandoa walio ajiriwa serikalini kuhama

Naomba kujua utaratibu wa wanandoa walio ajiriwa serikalini kuhama

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
464
Reaction score
549
Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti

Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ?

Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama kikazi serikalini kumfata mwenza wake (ni miaka mingapi baada ya kuanza kazi)?
 
Mume HAWEZI kuhama kumfuata mke.
Muda wa kuhama unazingatia mambo makubwa mawili:
Mosi, baada ya kuthibitishwa kazini ambayo mara nyingi ni baada ya mwaka mmoja tangu kuajiriwa.
Pili iwapo unapotoka hautaacha pengo kwenye nafasi yako na unakoelekea kuna pengo ambalo wewe utaenda kuliziba.
 
Aseeee
 
Sahizi kwenye mfumo wa ess kuhama ni mpaka uwe umemaliza miaka mitatu kwenye kituo Kipya. Kwahiyo ajira mpya subiri ikifika miaka mitatu utahama
 
Sahizi kwenye mfumo wa ess kuhama ni mpaka uwe umemaliza miaka mitatu kwenye kituo Kipya. Kwahiyo ajira mpya subiri ikifika miaka mitatu utahama
Hivi ukitaka kuhama hua unachagua almashauri unayo taka na shule au unachagua mkoa alafu utapangwa almashauri na kituo I mean huchagui almashauri na kituo
 
Back
Top Bottom