AseeeeMume HAWEZI kuhama kumfuata mke.
Muda wa kuhama unazingatia mambo makubwa mawili:
Mosi, baada ya kuthibitishwa kazini ambayo mara nyingi ni baada ya mwaka mmoja tangu kuajiriwa.
Pili iwapo unapotoka hautaacha pengo kwenye nafasi yako na unakoelekea kuna pengo ambalo wewe utaenda kuliziba.
Hivi ukitaka kuhama hua unachagua almashauri unayo taka na shule au unachagua mkoa alafu utapangwa almashauri na kituo I mean huchagui almashauri na kituoSahizi kwenye mfumo wa ess kuhama ni mpaka uwe umemaliza miaka mitatu kwenye kituo Kipya. Kwahiyo ajira mpya subiri ikifika miaka mitatu utahama