Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka zanzibar kuja Dar, mfano Tv na baiskeli.
Nategemea kuanza kuuza Tv na kukodisha baiskeli huku mkoan, hivyo nimeona kunagharama nafuu sana kupata bidhaa hiyo Zanzibar japo sijajua utaratibu upoje.
Hii ni kutokana na kodi za nchi yetu ni kila sehemu. Unaweza kuta kodi inazidi bei ya bidhaa, utani jamani.
Naomba mwenye kufahamu utaratibu upoje anifahamishe.
Karibu sana