Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Mkuu mm nipo zenji nishafanya izo ishu njoo Pm tuongeeNaomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka zanzibar kuja Dar, mfano Tv na baiskeli
Nategemea kuanza kuuza Tv na kukodisha baiskeli huku mkoan, hivyo nimeona kunagharama nafuu sana kupata bidhaa hiyo zanzibar japo sijajua utaratibu upoje. Hii ni kutokana na kodi za nchi yetu ni kila sehemu. Unaweza kuta kodi inazidi bei ya bidhaa..utani jaman.
Naomba mwenye kufahamu utaratibu upoje anifahamishe.
Karibu sana
Powa mkuuMkuu mm nipo zenji nishafanya izo ishu njoo Pm tuongee
Inabidi upite njia za panya kama ndo unaanza ili upate uzoefu kwasababu ukienda kwa TRA na gate pass wata kukamua wale vibarua bandarini ongea nao watakusaidia kutoa bidhaa zako .Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka zanzibar kuja Dar, mfano Tv na baiskeli
Nategemea kuanza kuuza Tv na kukodisha baiskeli huku mkoan, hivyo nimeona kunagharama nafuu sana kupata bidhaa hiyo zanzibar japo sijajua utaratibu upoje. Hii ni kutokana na kodi za nchi yetu ni kila sehemu. Unaweza kuta kodi inazidi bei ya bidhaa..utani jaman.
Naomba mwenye kufahamu utaratibu upoje anifahamishe.
Karibu sana
Naanza kwa mzigo mdogo kaka..Inabidi upite njia za panya kama ndo unaanza ili upate uzoefu kwasababu ukienda kwa TRA na gate pass wata kukamua wale vibarua bandarini ongea nao watakusaidia kutoa bidhaa zako .