gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Ndo ukweli.wenzetu wanaotengeneza hivi vyombo walishatoka kwenye dunia ya kutumia nguvu kama ufahari,siku hizi vitu ni soft,unabonyeza tu ngoma inatembea,nguvu kidogo akili nyingi.Uku afrika ndo bado tunawaza ujinga wakati hakuna ata gear box moja tuliyotengeneza.Hatutaki kukimbizana na mabadiliko ya teknolojia.Mtu anayehangaika kuendesha gari manual hasa private car miaka hii ni wale watu wanaoishi nyuma ya muda.......kwa sasa watu wapo kwenye teknolojia ya gari ambazo zinajiendesha zenyewe bila hata dereva kugusa sterling, leo hii mtu anajisifia kuendesha gari manual? siku hizi hata ndege unaweka kwenye autopilot na rubani anaweza kupiga usingizi kama abiria wengine......na inakoelekea ndege zitakuwa zinaendeshwa kutokea ardhini kwenye control room.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app