Naomba kujua utofauti uliopo kati ya gari "manual" na "automatic" kifaida na kihasara. Na pia naomba kujua kiundani kidogo dondoo za RAV 4 manual

Tofauti iliyopo Ni wkt wewe unafikiria Gari Ni kwa ajili ya kukutoa kutoka sehemu 1 kwenda nyingine(auto),Kuna watu kwao kuendesha Gari Ni pleasure na Wana enjoy the ride(manual).
 
Nlikua mitaa ya watu wa hali za kawaida na kishua a town closer to london (45 minutes from London, kote napajua) na gari walizokua wanatumia wengine za kawaida and Yes they...
The same I saw in Italy just two years ago, gari za manual zilikuwa ni nyingi na zinaendeshwa na wake kwa waume
 
Gari ya manual hizi namba A, B, C zisiuzwe kwa zaidi ya milioni nne
Point namba 1 nakubaliana na wewe changamoto ya manual ni safari fupi fupi na foleni maana inachosha guu la kushoto kukanyaga clutch kila mara...
Kitaalamu manual inatumia mafuta kidogo kuliko automatic. Mifumo ya automatic yote ni umeme na ili vyote vitende kazi vizuri mafuta yanatumika zaidi.

Eh, Kitaalamu manual inatumia mafuta kidogo kuliko automatic. Mifumo ya automatic yote ni umeme na ili vyote vitende kazi vizuri mafuta yanatumika zaidi
 
Gari ya manual hizi namba A, B, C zisiuzwe kwa zaidi ya milioni nne

Kitaalamu manual inatumia mafuta kidogo kuliko automatic. Mifumo ya automatic yote ni umeme na ili vyote vitende kazi vizuri mafuta yanatumika zaidi.

Eh, Kitaalamu manual inatumia mafuta kidogo kuliko automatic. Mifumo ya automatic yote ni umeme na ili vyote vitende kazi vizuri mafuta yanatumika zaidi
Na kwa auto?

YESU NI BWANA
 
Inategemea na gari.huwezi kusema zote ziuzwe bei hiyo kwa kigezo cha namba za usajili
 
Mkuu unajisifia umasikini?? Watu wametoka huko miaka mingi. Hakuna gari imetoka miaka ya karibuni wakaweka MANUAL.
Wametoka huko wapi? Serikali na Mashirika mpaka sasa wanaagiza hizo gari za Manual hata hilo V8 analotembelea Samia Saluhu ni Manual hiyo Technology ya Manual haiwezi kuisha karibuni kama unavyofikiria.
 
Mie manual inanisaidia kwanza kuniepusha na lawama za kuazimana azimana magari hovyo mtu hana hata safari ya muhimu anaazima gari.[emoji23]
Kwani unapata mtu ambae Ana endesha automatic car ila manual hawezi?? Na leseni bado anayo??? I don't get it..
 
Wapo wengi mnoo mtaani, madereva 90% vijana basi wanaweza automatic, manual ishu nzito kwao, kuhusu leseni usishangae wengi leseni wanaletewa sebuleni(njia za panya)
 
Manual gearbox unaongoza mwenyewe gari iwe kwenye gia ipi..!

Automatic gearbox gari inaangalia gia kutokana mazingira na range uliyoipa..!

Faida zake.. Kama wadau walivyosema huko juu..
Bei ya gari mpya Manual inakuwa ndogo kuliko Automatic..
Manual utasave mafuta..
Manual ni fun kuendesha..
Manual gari battery low unaisukuma inawaka..
Manual gearbox itaishi muda mrefu zaidi..
Ukitaka kufungua driving school utahitaji gari manual..

Manual ni gari za car enthusiasts..! Unakuwa na full control ya gari..!

Technology inabadilika.. Hata manual cars zimebadilika.. Zamani 4-speed sasa hivi kuna 7-speed..!
Manual raha sana....5speed manual...speed 70 nishamaliza gia kitambo sana rpm chini ya mbili huko...inaenda ikipanda taratibu hadi inafika 120 gia ile ile..mliman naiforce gia nayotaka ...naweza kuwa na 3 nikajarbu weka nne😋 Ngoma inapanda badae hadi inasinzia napiga moshi tatu nashusha moja mwendo mdundo
 
Manual gearbox unaongoza mwenyewe gari iwe kwenye gia ipi..!

Automatic gearbox gari inaangalia gia kutokana mazingira na range uliyoipa..!

Faida zake.. Kama wadau walivyosema huko juu..
Bei ya gari mpya Manual inakuwa ndogo kuliko Automatic..
Manual utasave mafuta..
Manual ni fun kuendesha..
Manual gari battery low unaisukuma inawaka..
Manual gearbox itaishi muda mrefu zaidi..
Ukitaka kufungua driving school utahitaji gari manual..

Manual ni gari za car enthusiasts..! Unakuwa na full control ya gari..!

Technology inabadilika.. Hata manual cars zimebadilika.. Zamani 4-speed sasa hivi kuna 7-speed..!
mimi nakubaliana na wengi kuwa, Gari za Manual ni technoligia ya ZAMANI na tuendako zinapungua sokoni kila siku.
Mf: hata kwa sasa kwa magari mengi MAPYA, gari ya manual ni bei poa kuliko gari za automatic
Na kwa wale wanaopenda gari za gia (manual), toleo jipya lililo anza kutoka, ni gari za kuweka gia ila hazina clutch. Yaani dereva anahamisha gia anayotaka kwa kuachia tu mafuta (semi automatic) na hapo ulimwengu unaelekea kuzifuta kabisa sokoni gari za full manual
Hiyo ya manual kuwa na 4 speed, au 5 au 7 hadi 12speed ilikuwepo tangia mwanzoni (sio mabadiliko)
 
Back
Top Bottom