wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Tofauti iliyopo Ni wkt wewe unafikiria Gari Ni kwa ajili ya kukutoa kutoka sehemu 1 kwenda nyingine(auto),Kuna watu kwao kuendesha Gari Ni pleasure na Wana enjoy the ride(manual).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio inaitwa both team to score.Vipi ukitengeneza automatic utakuwaje?
Aisee mtu anakwambia hakuna gari imetoka miaka ya karibuni wanaweka manual.. Wakati huo yeye hana gari ya miaka ya karibuni.. Ndio anaishia kutoa boko..!!!Uongo, manual zinatengenezwa Kama kawaida ingawa Ni katika idadi ndogo kulinganisha na automatic.
Dah!!! Hapa mwamba umeuwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie manual inanisaidia kwanza kuniepusha na lawama za kuazimana azimana magari hovyo mtu hana hata safari ya muhimu anaazima gari.[emoji23]
Roho hii sina kaka, wengine uso wetu umeumbwa na haya(tuna roho za kimaskini)Kama hautaki kutoa gari si unamwambia tu mtu kwamba mimi hua siazimishi mtu gari mzee...akikumaindi achukue time yake...
Changamoto zipi mbona unajibu kama popoma hivi..Manual ndo ina changamoto, katika kutatua hizo changamoto ndo wakaja na auto..
Sent using Jamii Forums mobile app
The same I saw in Italy just two years ago, gari za manual zilikuwa ni nyingi na zinaendeshwa na wake kwa waumeNlikua mitaa ya watu wa hali za kawaida na kishua a town closer to london (45 minutes from London, kote napajua) na gari walizokua wanatumia wengine za kawaida and Yes they...
Gia mpaka 6 piaAjabu UK niliona gari nyingi sana manual.
Kitaalamu manual inatumia mafuta kidogo kuliko automatic. Mifumo ya automatic yote ni umeme na ili vyote vitende kazi vizuri mafuta yanatumika zaidi.Point namba 1 nakubaliana na wewe changamoto ya manual ni safari fupi fupi na foleni maana inachosha guu la kushoto kukanyaga clutch kila mara...
Eh, Kitaalamu manual inatumia mafuta kidogo kuliko automatic. Mifumo ya automatic yote ni umeme na ili vyote vitende kazi vizuri mafuta yanatumika zaidiPoint namba 1 nakubaliana na wewe changamoto ya manual ni safari fupi fupi na foleni maana inachosha guu la kushoto kukanyaga clutch kila mara...
Gari ya manual hizi namba A, B, C zisiuzwe kwa zaidi ya milioni nne...
Na kwa auto?Gari ya manual hizi namba A, B, C zisiuzwe kwa zaidi ya milioni nne
Kitaalamu manual inatumia mafuta kidogo kuliko automatic. Mifumo ya automatic yote ni umeme na ili vyote vitende kazi vizuri mafuta yanatumika zaidi.
Eh, Kitaalamu manual inatumia mafuta kidogo kuliko automatic. Mifumo ya automatic yote ni umeme na ili vyote vitende kazi vizuri mafuta yanatumika zaidi
NAMbA A, b, c auto usichukue hata kwa lakiNa kwa auto?
YESU NI BWANA
Inategemea na gari.huwezi kusema zote ziuzwe bei hiyo kwa kigezo cha namba za usajiliGari ya manual hizi namba A, B, C zisiuzwe kwa zaidi ya milioni nne
Kitaalamu manual inatumia mafuta kidogo kuliko automatic. Mifumo ya automatic yote ni umeme na ili vyote vitende kazi vizuri mafuta yanatumika zaidi.
Eh, Kitaalamu manual inatumia mafuta kidogo kuliko automatic. Mifumo ya automatic yote ni umeme na ili vyote vitende kazi vizuri mafuta yanatumika zaidi
Yutong, zhongtong, tata magna, suzuki jimny,Mkuu unajisifia umasikini?? Watu wametoka huko miaka mingi. Hakuna gari imetoka miaka ya karibuni wakaweka MANUAL.
ni jambo la kimazingira tu japo rav4 za uk zinakutu mno kutokana chumvi nyingi barabaranKwanini Rav4 ya UK iko tofauti sana na ya kuagiza Japan?
Wametoka huko wapi? Serikali na Mashirika mpaka sasa wanaagiza hizo gari za Manual hata hilo V8 analotembelea Samia Saluhu ni Manual hiyo Technology ya Manual haiwezi kuisha karibuni kama unavyofikiria.Mkuu unajisifia umasikini?? Watu wametoka huko miaka mingi. Hakuna gari imetoka miaka ya karibuni wakaweka MANUAL.
Kwani unapata mtu ambae Ana endesha automatic car ila manual hawezi?? Na leseni bado anayo??? I don't get it..Mie manual inanisaidia kwanza kuniepusha na lawama za kuazimana azimana magari hovyo mtu hana hata safari ya muhimu anaazima gari.[emoji23]
Wapo wengi mnoo mtaani, madereva 90% vijana basi wanaweza automatic, manual ishu nzito kwao, kuhusu leseni usishangae wengi leseni wanaletewa sebuleni(njia za panya)Kwani unapata mtu ambae Ana endesha automatic car ila manual hawezi?? Na leseni bado anayo??? I don't get it..
Manual raha sana....5speed manual...speed 70 nishamaliza gia kitambo sana rpm chini ya mbili huko...inaenda ikipanda taratibu hadi inafika 120 gia ile ile..mliman naiforce gia nayotaka ...naweza kuwa na 3 nikajarbu weka nne😋 Ngoma inapanda badae hadi inasinzia napiga moshi tatu nashusha moja mwendo mdundoManual gearbox unaongoza mwenyewe gari iwe kwenye gia ipi..!
Automatic gearbox gari inaangalia gia kutokana mazingira na range uliyoipa..!
Faida zake.. Kama wadau walivyosema huko juu..
Bei ya gari mpya Manual inakuwa ndogo kuliko Automatic..
Manual utasave mafuta..
Manual ni fun kuendesha..
Manual gari battery low unaisukuma inawaka..
Manual gearbox itaishi muda mrefu zaidi..
Ukitaka kufungua driving school utahitaji gari manual..
Manual ni gari za car enthusiasts..! Unakuwa na full control ya gari..!
Technology inabadilika.. Hata manual cars zimebadilika.. Zamani 4-speed sasa hivi kuna 7-speed..!
mimi nakubaliana na wengi kuwa, Gari za Manual ni technoligia ya ZAMANI na tuendako zinapungua sokoni kila siku.Manual gearbox unaongoza mwenyewe gari iwe kwenye gia ipi..!
Automatic gearbox gari inaangalia gia kutokana mazingira na range uliyoipa..!
Faida zake.. Kama wadau walivyosema huko juu..
Bei ya gari mpya Manual inakuwa ndogo kuliko Automatic..
Manual utasave mafuta..
Manual ni fun kuendesha..
Manual gari battery low unaisukuma inawaka..
Manual gearbox itaishi muda mrefu zaidi..
Ukitaka kufungua driving school utahitaji gari manual..
Manual ni gari za car enthusiasts..! Unakuwa na full control ya gari..!
Technology inabadilika.. Hata manual cars zimebadilika.. Zamani 4-speed sasa hivi kuna 7-speed..!