Naomba kujua viability ya UTT please kabla sijawekeza huko

Faida zake zikoje kwa wanaojua plz
Una save pesa haipungui kidogokidogo bali inaongezeka kidogokidogo.
Inatumia compound interest yaani ukiweka pesa yako leo kesho inazaa faida. Wanachukua kianzio chako jumlisha faida ya kesho ili kupata faida ya kesho kutwa. Mfumo huo angalau utaifanya pesa yako iongezeke haraka ukilinganisha na fixed deposit za bank.
 
Asante.
 
Usiweke pesa huko Kwa malengo ya faida , weka Kama akiba yako inayozaa faida...
Una save pesa haipungui kidogokidogo bali inaongezeka kidogokidogo.
Inatumia compound interest yaani ukiweka pesa yako leo kesho inazaa faida. Wanachukua kianzio chako jumlisha faida ya kesho ili kupata faida ya kesho kutwa. Mfumo huo angalau utaifanya pesa yako iongezeke haraka ukilinganisha na fixed deposit za bank.
Good otherwise akaweke bank iwe inapungua kila siku.
Kama Hajaelewa Aseme Alipo Tumfute Huko Huko
 
Back
Top Bottom