umenikumbusha mbali haswaPia kuna ile kwaya waliimba wimbo wa "SAULI"... NKINGA CHRISTIAN CHOIR TABORA
"SAULI wawatesa watu wangu, Sauli Sauli mbona waniudhi"
Mwingine waliimba hivi..
"Tunza maisha yako, ukawe na bidii, kwake Yesu mwokozi.. Umpende Muumba kwa siku zako zote"
Umenikumbusha mbali sana niliwahi kutubu kwenye mkutano wa sinema ya Yesu!Aisee ni kweli,kujua hizo nyimbo lazima uwe kwenye familia ya utumishi au anamjua Mungu,enzi hizo nilikuwa nazunguka na mzee kwenye mikutano ya Injili,usiku kuanzia saa moja nawasha jenereta naweka tapes za hizo nyimbo halafu mida ya saa mbili mkanda wa Mateso ya Yesu au Samson & na delila tunaweka,l.
Basi watu wanajaa,pale kwenye mateso ya watu wanaanza kulia na kutubu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaimba milele waliimba Habari Njema Choir Arusha mjini...Kuna hizi pia
HAKI HUINUA TAIFA
KWA NINI WATAKA KUJIUA
TUTAIMBA MILELE TUTAIMBA