Naomba kujua wanajeshi wanawake wenye vyeo vya juu JWTZ

Naomba kujua wanajeshi wanawake wenye vyeo vya juu JWTZ

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Uzi huu ni mahususi wa kuwataja na kuwatambua akina mama zetu wenye vyeo vya juu jeshini, ambao wanaanzia vyeo vya Brigedia Jenerali na Meja Jenerali.

Kuna hesabu nazifanya hapa. Mwisho wa mwezi huu kuna jambo letu.
 

Unataka Kujifanya Mtabiri Wa Nyota Ya Mashariki

Haya Ni Majeshi

 
Mery Mwanjelwa si alisemaga yeye ni jeshi la mtu mmoja .... ndo wanawake potential hawa
 
Wapuuzi mnadhani Rais Samia anataka kuteua mkuu wa Majeshi mwanamke. Poleni. Yeye sio mjinga kama mnayodhani.
 
Back
Top Bottom