Yupo mmoja tu ambaye ana cheo cha brigedia jenerali.Uzi huu ni mahususi wa kuwataja na kuwatambua akina mama zetu wenye vyeo vya juu jeshini, ambao wanaanzia vyeo vya Brigedia Jenerali na Meja Jenerali kuna hesabu nazifanya hapa. Mwisho wa mwezi huu kuna jambo letu...