Naomba kujua wapi naweza kununua LACTIC ACID NA CITRIC ACID

Naomba kujua wapi naweza kununua LACTIC ACID NA CITRIC ACID

magasi jnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
364
Reaction score
560
Habarini wakuu, naomba msaada ni maduka yapi au maduka ya aina gani ninaweza kununua LACTIC na CITRIC ACID?
 
Nafikir pale posta kwenye hii njia ya mwendokasi kuna duka kubwa la vifaa vya hospital so Acid lazima utazipata pale
 
Back
Top Bottom