Naomba kujua wapi nitapata Mtaalam/Daktari wa “Mental Health”

Naomba kujua wapi nitapata Mtaalam/Daktari wa “Mental Health”

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu habari. Poleni kwa mishe na matatizo.

Nahitaji mtalaam wa mental health (therapist au psychologist) kwaajili ya kunisaidia.

At least mara 2 kwa week kila session angalau ya 2 hours. Location Dar bei iwe rafiki.

Am not Okay na maisha yanazidi nipiga.

Nashukuru.
 
Inuka uende..Hospitali wahi haraka..uliza hata mitaani..
 
Yupo mmoja kuna kipindi alikwepo Muhimbili anaitwa Dr Morawej. Kama unamuhitaji sema namba zake sina ana account Twitter ntakuunga nae
 
Back
Top Bottom