Naomba kujua!!

Naomba kujua!!

maana yake mbwa asipozurura hali

msemo umepitwa na wakati, unajaribu kusema kufanya kazi za nguvu ndo njia ya kupata pesa wakati siku hizi kazi za viyoyozi ni nyingi
 
Mkaaa Bure sio sawa na mtembezi huenda ukaokoteza

Ndo maana wenza ... Mwanaume mambo yanaposhindikana ulikoajiriwa ama jiajiri ukilala wiki/mwezi geto .... Mwenzio/mkeo hukulazimisha utokee ukatembeee hata nauli atakupaaaa
 
Back
Top Bottom