Mad Jaluo
Member
- Jun 19, 2019
- 89
- 159
Wanajamvi naomba maelekezo kidogo. Mwenzenu nikitaka kufika Brazil naendaje?
Kule nina mwenyeji tayari anaishi Sao Paolo.Je ni lazima kupanda ndege au hata kwa meli nitafika??safari hii tupo watu wawili na tunapita njia tu tukielekea Mexico kujaribu kuingia Marekani kisha Canada.
Kwa anaejua njia naomba mawazo yenu na ujuzi wenu.nataka intake risk nijaribu kufika nchi ya ahadi baada ya janga la Corona kupoa. Asanteni