Mad Jaluo
Member
- Jun 19, 2019
- 89
- 159
- Thread starter
- #21
Ninajitahidi sana kucheck Google maps.pia nakaribisha maoni na msaada kwa waliowahi kufika huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninajitahidi sana kucheck Google maps.pia nakaribisha maoni na msaada kwa waliowahi kufika huko.
Kwanza kama wewe ni KIJANA NA UNATAKA VIZA YA BRAZIL basi ujipange HASWA UBALOZINI...nasikia hawatoi viza kwa WATANZANIA,,WAMEELEKEZWA HIVYO...,na hata kama UTAIPATA HYO VIZA,,,basi utafute SEHEMU YA kutokea lakini sio hapa MINAZI MIREFU....UTAPATA USUMBUFU WA HALI YA JUU,,,,pili kwann USIENDE KUOMBA VIZA MAREKANI straight ni bora kuliko GHARAMA UTAKAZOKUTANA NAZO,,,kutokea BRAZIL....TAFUTA WATU UWALIPE WAKUANDALIE DOCUMENTS ZA MIALIKO AU KUSOMA,,,UZAME UBALOZI MAREKANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajamvi naomba maelekezo kidogo .Mwenzenu nikitaka kufika Brazil naendaje?
Kule nina mwenyeji tayari anaishi Sao Paolo.Je ni lazima kupanda ndege au hata kwa meli nitafika??safari hii tupo watu wawili na tunapita njia tu tukielekea Mexico kujaribu kuingia Marekani kisha Canada.
Kwa anaejua njia naomba mawazo yenu na ujuzi wenu.nataka intake risk nijaribu kufika nchi ya ahadi baada ya janga la Corona kupoa. Asanteni
Braza angu visa ya Marekani nilishanyimwa ndioya kwanza kuomba.mpaka nikaamua kuzunguka ni kwa sababu sina connection mkuuKwanza kama wewe ni KIJANA NA UNATAKA VIZA YA BRAZIL basi ujipange HASWA UBALOZINI...nasikia hawatoi viza kwa WATANZANIA,,WAMEELEKEZWA HIVYO...,na hata kama UTAIPATA HYO VIZA,,,basi utafute SEHEMU YA kutokea lakini sio hapa MINAZI MIREFU....UTAPATA USUMBUFU WA HALI YA JUU,,,,pili kwann USIENDE KUOMBA VIZA MAREKANI straight ni bora kuliko GHARAMA UTAKAZOKUTANA NAZO,,,kutokea BRAZIL....TAFUTA WATU UWALIPE WAKUANDALIE DOCUMENTS ZA MIALIKO AU KUSOMA,,,UZAME UBALOZI MAREKANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi napita njia tu.wala sina mpango wa kuweka makazi.na mimi ni binti sina mictikasi hiyo.Ndugu yangu Brazil [emoji1054] utaenda kufa njaa napajua vizuri hakuna namna yeyote yakutoka zaidi ya kuwa kicontena cha kubeba unga
Sent using IPhone X
Hiyo fedha ndio shida.nililiwa hela yangu na agent wa visa pale posta mpya.kanitengenezea document kibao kufika ubalozi wa marekani ikabuma.nikarudia tena hola.na hapo hela inaenda hairudi.sasa nimeona niingie front kama wahamiaji wengine walivyojitoa kafara kusafiri kwa njia ya barabara mpaka Canada na wamefika kwa mkono wa Mungu.Acha nijaribu umri wangu unaruhusuNdugu jifunze kwanza, tafuta taarifa za kutosha suala ulilouliza hukupaswa kuuliza watu maana hayo yote ulitakiwa kuyajua kabla hujaamua kuuliza.
Mm niliwahi kufika Brasil mwaka 2014, nakumbuka kulikuwa kunamaandalizi ya mashindano ya kombe la Dunia kama sikosei, ila mm sikuenda kushughudia michuano hiyo nilikwenda kwa dhamira nyengine na nashkuru nilifanikiwa na kurudi zangu Tz. Kwaiyo nitajaribu kushare taarifa chache nlizonazo walau tujuzani, pengine zinaweza kuwa bado hazijapitwa na wakati.
Sawa, ni hivi ukitaka kwenda Brasil usitumie South African Airways nakushauri utumie Emirates Airlines hii ni kwasababu ukitumia shirika la ndege la South wataanza kutilia mashaka sana kuhusu dhamira ya safari yako kutokana na ongezeko la vijana wanatumika kusafirishia madawa kutoka ama kuingia Brasil wanatumia Shirika la ndege la South. Hivyo nilichogundua shirika la ndege la Emirates sio mara nyingi kutumia na wabeba madawa sijui kwa nn.
Pili binafsi nnampanga wa kuingia Canada ila si kwanamna unayopanga ww, nakushauri kama unataka kuingia Canada jipange vizuri, tafuta taarifa kwa vyanzo vinavyoaminika halafu tafuta wataalamu wanajua kuandaa nyaraka zinazohitajika kwa ajili ya uombaji wa viza wakuongoze vyema. Katika hili nakushauri ujiandae kifedha kwa sababu kila hatua inahitaji fedha kufanikiwa, usighofu kutumia fedha ila kuwa makini na kudeal na waru wasioaminika. Visa zinatoka ila watz tunatakiwa tujipange vizuri kabla hatujaingia pale kituo cha kuombea visa cha iom Msasani peninsula kituoni ofisi za IOM "vfs global tanzania".
Nakushauri usizunguuke kote huko, jipange utobolee palepale IOM Visa Centre.
KILA LA KHEIR MKUU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii idea nimeitoa hum humu.Nataka kuitekelezaTafuta humu kuna uzi unaongelea mambo hayo ya kwenda nje
kwan unataka ukatafute danga la kibrazili?Mimi napita njia tu.wala sina mpango wa kuweka makazi.na mimi ni binti sina mictikasi hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukaeleza hapa sababu za kuzuia viza kwa watanzania kwenda Brazil mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa hapa mkuu inaweza kuwa msaada kwa wengiKwa kua ni binti nimeguswa kukusaidia,
Canada kuingia ni rahisi sana wala hutohitaji kutumia njia ndefu namna hiyo,
Tafuta NGO jisajili kazi yote watafanya wao.
Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
MKUU maisha sio LAZIMA MAREKANI,, hata Mimi walishaninyima,,,tena bila sababu,,,wale jamaa hawaeleweki...ila OMBA CANADA,,,PAKO POABraza angu visa ya Marekani nilishanyimwa ndioya kwanza kuomba.mpaka nikaamua kuzunguka ni kwa sababu sina connection mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kubalance shobo lofa weeEasy tu Braza!
Brazil unakatia ticket hapo ubungo, nadhan Basi zinazoenda huko Kuna Capricorn na Sumry, Seema utachelewa Sana, huwa wanafika saa8 mchana
Mbona nimeona sikidhi vigezo vya kupata Visa yaCanada?bank salio halisomi kabisa na nikisema nitumie agent sina uwezo wa kumlipaMKUU maisha sio LAZIMA MAREKANI,, hata Mimi walishaninyima,,,tena bila sababu,,,wale jamaa hawaeleweki...ila OMBA CANADA,,,PAKO POA
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu upumbavu kapost kwenu group la ukoo wenu shwain weeWrite your reply...Write your reply...kuingia na kutoka Brazil ni rahisa sana kama huamini muulize Ronaldinho au yule Gang leader muuza drugs wa brazil aliekamatiwa majuzi Mozambique