Kama una mwenyeji aliyepo Sao Paolo, si umuulize njia ya kufika huko?Wanajamvi naomba maelekezo kidogo .Mwenzenu nikitaka kufika Brazil naendaje?
Kule nina mwenyeji tayari anaishi Sao Paolo.Je ni lazima kupanda ndege au hata kwa meli nitafika??safari hii tupo watu wawili na tunapita njia tu tukielekea Mexico kujaribu kuingia Marekani kisha Canada.
Kwa anaejua njia naomba mawazo yenu na ujuzi wenu.nataka intake risk nijaribu kufika nchi ya ahadi baada ya janga la Corona kupoa. Asanteni
Jaribu kuchek google mapWanajamvi naomba maelekezo kidogo .Mwenzenu nikitaka kufika Brazil naendaje?
Kule nina mwenyeji tayari anaishi Sao Paolo.Je ni lazima kupanda ndege au hata kwa meli nitafika??safari hii tupo watu wawili na tunapita njia tu tukielekea Mexico kujaribu kuingia Marekani kisha Canada.
Kwa anaejua njia naomba mawazo yenu na ujuzi wenu.nataka intake risk nijaribu kufika nchi ya ahadi baada ya janga la Corona kupoa. Asanteni
Anajua ya ndege tu.hajawahi kusafiri na kazi yake ni kunipokea tu.Kama una mwenyeji aliyepo Sao Paolo, si umuulize njia ya kufika huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Balozi zimefungwa.nataka niprofit sasa nianze mdogo mdogo mpaka nisogee.wakifungua balozi na mipaka nitakua nimeshasogea mbele.I call tjis a blessing in disguiseNadhani ungemuuliza huyo mwenyeji wako wa huko São Paulo. Au ingia online check website ya ubalozi wa Brazil nchini Tanzania utapata details zote za kuingia nchini kwao
Asante kwa kunipa moyo.Ukifika salama na mambo yakienda sawa usisite kunijuza mkuu...kila la heri la mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usogee kivip mkuu?!Balozi zimefungwa.nataka niprofit sasa nianze mdogo mdogo mpaka nisogee.wakifungua balozi na mipaka nitakua nimeshasogea mbele.I call tjis a blessing in disguise
Nianze safari mdogo mdogo. Nauli imepoa sana nataka intake advantage sasa nisisubiri watu waanze kusafiri.wakianza kusafiri nauli zitapanda sana na nitakwamaUsogee kivip mkuu?!
Niambie ni mji gani rahisi kuondokea kwa kutoka South Africa?Nenda South Africa utaunganishwa na dunia Huwezi kosa usafiri
Pelekea ujinga wako kwenye group la ukoo wenu sio hapaMkuu kama unataka kuwahi panda kiazi kitamu kama huna haraka chukua baiskeli
Vaa barakoa, tumia sanitizer, sali sana. Kusafiri utasafiri baada ya kunusurika na corona
Wanajamvi naomba maelekezo kidogo .Mwenzenu nikitaka kufika Brazil naendaje?
Kule nina mwenyeji tayari anaishi Sao Paolo.Je ni lazima kupanda ndege au hata kwa meli nitafika??safari hii tupo watu wawili na tunapita njia tu tukielekea Mexico kujaribu kuingia Marekani kisha Canada.
Kwa anaejua njia naomba mawazo yenu na ujuzi wenu.nataka intake risk nijaribu kufika nchi ya ahadi baada ya janga la Corona kupoa. Asanteni
Pakubwa pale sehemu gani?yani nipe hata mwangaza tu nianzie wapi?Shortcut nasikia iko south afrika....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna shida bora uzima.Usisahau kuleta mrejesho ukianza safari kama @shibekijiji