Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
- Thread starter
-
- #21
ipo hivi kila mwanamke alievunja ungo na mfumo wake wa uzazi upo sawa kila mwezi kuna wakati anakuwa tayari kubeba mimba kwahyo mwili unajitengeneza kwa ajili hiyoHicho kitu kilishindikana kunasa kichwani mwangu
Yes ni lazimaKUSOMA BIOLOGY SI COMPULSORY SECONDARY?
Una miaka mingapi binti? Dizaini kama umeanza kunivutia vile...Yani hata ikitokea nimeumwa nikaenda hospital na dr akitokea kuniuliza Mara ya mwisho kupata periods ni lini tehe tehe tehe ntatoa macho Ka fundi saa
mi nachanikiwa sana hv ni baada ya kubleed au kabla ya kuubleed ndo ukiingia unapata mtoto??maana navojua mm yai likiharibika ndo linakua linatoka nje kama uchaf ambapo tunasema bleeding au inakuwaje??
ipo hivi kila mwanamke alievunja ungo na mfumo wake wa uzazi upo sawa kila mwezi kuna wakati anakuwa tayari kubeba mimba kwahyo mwili unajitengeneza kwa ajili hiyoMwanamke tehe tehe tehe
Hizi habari nimeshazisikia ila Ku stick on my head nahisi ndipo shida ilipoipo hivi kila mwanamke alievunja ungo na mfumo wake wa uzazi upo sawa kila mwezi kuna wakati anakuwa tayari kubeba mimba kwahyo mwili unajitengeneza kwa ajili hiyo
kama unavojua ili mimba itokee yai la mwanamke lazima liungane na mbegu za kiume
pia lazima mji wa mimba au kizazi kiwepo kwahyo sasa kila mwezi mwili wa mwanamke unajiseti kupata mimba
yai linatolewa ili kukutana na mbegu za kiume pia mji wa mimba au kizazi nacho kinajitengeneza ili kupokea mimba
inapotokea yai halikutpata mbegu kwa muda muafaka 72 hours huwa linakufa kwa hyo mimba haiwezi kutungwa so na ule mji wa uzazi/kizazi kilichokuwa kimeshajitengeneza hubomoka ndo hyo hedhi sasa au damu
usichoelewa ni nini?Hizi habari nimeshazisikia ila Ku stick on my head nahisi ndipo shida ilipo
Nahisi sijaichukulia serious kuiweka kichwaniusichoelewa ni nini?
kwa hy monica wanawake mnatoa ute na si damu kama nilivosikia??Adna yai halitoi damu ni ute tu na linatoka kat ya cku ya 12 au 14
lili njootuyajengeNahisi sijaichukulia serious kuiweka kichwani
Ipo sahihi Mkuu.Baada ya kusumbuka sana kusaka mtoto nilienda hospital nikapewa muongozo huu
Ipo hivii
Siku ya kwanza mke/demu wako anapoingia hedhi unaihesabu kama 1, siku ya pili ni 2 mmpaka cku 10, hapo mwanamke hawez kupata mimba
Baada ya hapo kuanzia siku ya 11 tangu hedhi ianze mpaka siku ya 15 hapo ni khatari, ni mimba tu, ila siku ya 14 ndio PEAK,hapaongopi hapo (ovulation)
Kuanzia 16-mwisho atakapoanza tena ni hakuna mimba , cheki hiyo picha hapo chini kwa msaada zaidi
View attachment 436975
ooooh ahsante kwa kunitoa ujinga nilioubeba muda mwingi.Ile damu ni mji wa mimba ulijiandaa kwa mimba unapoharibka ndo inatoka kama damu
Muhimu sana kujua hiyo binti, LNMP ( last normal menstrual period) ni swali ambalo ni muhimu kuulizwa kwa kila mgonjwa wa kike aliyevunja ungo anapofika hospitali kwa kuwa kuna magonjwa ya kike yana interaction na menstrual periodsYani hata ikitokea nimeumwa nikaenda hospital na dr akitokea kuniuliza Mara ya mwisho kupata periods ni lini tehe tehe tehe ntatoa macho Ka fundi saa
hata mimi huwa sikumbuki maana sina issue nazoYani hata ikitokea nimeumwa nikaenda hospital na dr akitokea kuniuliza Mara ya mwisho kupata periods ni lini tehe tehe tehe ntatoa macho Ka fundi saa