Naomba kujulishwa mfumo wa hedhi ulivyo

Naomba kujulishwa mfumo wa hedhi ulivyo

mi nachanikiwa sana hv ni baada ya kubleed au kabla ya kuubleed ndo ukiingia unapata mtoto??maana navojua mm yai likiharibika ndo linakua linatoka nje kama uchaf ambapo tunasema bleeding au inakuwaje??
 
Hicho kitu kilishindikana kunasa kichwani mwangu
ipo hivi kila mwanamke alievunja ungo na mfumo wake wa uzazi upo sawa kila mwezi kuna wakati anakuwa tayari kubeba mimba kwahyo mwili unajitengeneza kwa ajili hiyo
kama unavojua ili mimba itokee yai la mwanamke lazima liungane na mbegu za kiume
pia lazima mji wa mimba au kizazi kiwepo kwahyo sasa kila mwezi mwili wa mwanamke unajiseti kupata mimba
yai linatolewa ili kukutana na mbegu za kiume pia mji wa mimba au kizazi nacho kinajitengeneza ili kupokea mimba
inapotokea yai halikutpata mbegu kwa muda muafaka 72 hours huwa linakufa kwa hyo mimba haiwezi kutungwa so na ule mji wa uzazi/kizazi kilichokuwa kimeshajitengeneza hubomoka ndo hyo hedhi sasa au damu
 
Yani hata ikitokea nimeumwa nikaenda hospital na dr akitokea kuniuliza Mara ya mwisho kupata periods ni lini tehe tehe tehe ntatoa macho Ka fundi saa
Una miaka mingapi binti? Dizaini kama umeanza kunivutia vile...
 
mi nachanikiwa sana hv ni baada ya kubleed au kabla ya kuubleed ndo ukiingia unapata mtoto??maana navojua mm yai likiharibika ndo linakua linatoka nje kama uchaf ambapo tunasema bleeding au inakuwaje??
Mwanamke tehe tehe tehe
ipo hivi kila mwanamke alievunja ungo na mfumo wake wa uzazi upo sawa kila mwezi kuna wakati anakuwa tayari kubeba mimba kwahyo mwili unajitengeneza kwa ajili hiyo
kama unavojua ili mimba itokee yai la mwanamke lazima liungane na mbegu za kiume
pia lazima mji wa mimba au kizazi kiwepo kwahyo sasa kila mwezi mwili wa mwanamke unajiseti kupata mimba
yai linatolewa ili kukutana na mbegu za kiume pia mji wa mimba au kizazi nacho kinajitengeneza ili kupokea mimba
inapotokea yai halikutpata mbegu kwa muda muafaka 72 hours huwa linakufa kwa hyo mimba haiwezi kutungwa so na ule mji wa uzazi/kizazi kilichokuwa kimeshajitengeneza hubomoka ndo hyo hedhi sasa au damu
 
ipo hivi kila mwanamke alievunja ungo na mfumo wake wa uzazi upo sawa kila mwezi kuna wakati anakuwa tayari kubeba mimba kwahyo mwili unajitengeneza kwa ajili hiyo
kama unavojua ili mimba itokee yai la mwanamke lazima liungane na mbegu za kiume
pia lazima mji wa mimba au kizazi kiwepo kwahyo sasa kila mwezi mwili wa mwanamke unajiseti kupata mimba
yai linatolewa ili kukutana na mbegu za kiume pia mji wa mimba au kizazi nacho kinajitengeneza ili kupokea mimba
inapotokea yai halikutpata mbegu kwa muda muafaka 72 hours huwa linakufa kwa hyo mimba haiwezi kutungwa so na ule mji wa uzazi/kizazi kilichokuwa kimeshajitengeneza hubomoka ndo hyo hedhi sasa au damu
Hizi habari nimeshazisikia ila Ku stick on my head nahisi ndipo shida ilipo
 
Adna yai halitoi damu ni ute tu na linatoka kat ya cku ya 12 au 14
 
Ile damu ni mji wa mimba ulijiandaa kwa mimba unapoharibka ndo inatoka kama damu
 
Baada ya kusumbuka sana kusaka mtoto nilienda hospital nikapewa muongozo huu
Ipo hivii

Siku ya kwanza mke/demu wako anapoingia hedhi unaihesabu kama 1, siku ya pili ni 2 mmpaka cku 10, hapo mwanamke hawez kupata mimba

Baada ya hapo kuanzia siku ya 11 tangu hedhi ianze mpaka siku ya 15 hapo ni khatari, ni mimba tu, ila siku ya 14 ndio PEAK,hapaongopi hapo (ovulation)

Kuanzia 16-mwisho atakapoanza tena ni hakuna mimba , cheki hiyo picha hapo chini kwa msaada zaidi

View attachment 436975
Ipo sahihi Mkuu.
 
Jamii forum ifungue jukwaa la "kids corner forum" wahusika wawemo humo
 
Yani hata ikitokea nimeumwa nikaenda hospital na dr akitokea kuniuliza Mara ya mwisho kupata periods ni lini tehe tehe tehe ntatoa macho Ka fundi saa
Muhimu sana kujua hiyo binti, LNMP ( last normal menstrual period) ni swali ambalo ni muhimu kuulizwa kwa kila mgonjwa wa kike aliyevunja ungo anapofika hospitali kwa kuwa kuna magonjwa ya kike yana interaction na menstrual periods
 
Yani hata ikitokea nimeumwa nikaenda hospital na dr akitokea kuniuliza Mara ya mwisho kupata periods ni lini tehe tehe tehe ntatoa macho Ka fundi saa
hata mimi huwa sikumbuki maana sina issue nazo
 
Eti una umri gani? Una Elimu gani?
Sasa maswali gani haya. Watu wengine wanajionaga wao ndo wao tu
 
nilitaman kukutumia mzunguko ulivyo kwenye duara ndio ungeelewa sema mdio ivyo kama vipi nifollow facebook nikitumie jina ngedere mkata mkaa chuwa
 
Back
Top Bottom