Nivea!Habari zenu wanajukwaa..,Mimi naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri yaani ki (Gentleman) ya Bei Rahisi kwanzia Buku5-10...??
NOTE:HALI YANGU YAKIPATO NI NDOGO NDIO MAANA NIKAULIZIA SPRAY NA SIO PERFUME..Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana majibu ni sahihi tu.. maana hata ukimwambia hii au ile.. akifika dukani atainusa tu.... Aende madukani akanuse nuSe Kama beberu atafutaye Mbuzi jike.... kwa ushauri akanunue basi ile ya kupulizia wapendwa wetu waliotutoka... Atanukia vyema tu.Hivi kwann mtu kauliza swali tena kwa ustaarabu kabisa halafu baadhi ya watu mnajibu vibaya jamani au kwa sababu kasema kipato chake kidogo?,kama unaona huwezi kumsaidia au kujibu soma tu na upite kimya kimya...yupo jukwaa husika kabisa..acheni hizo ndugu zangu.
Hapana.. mwingine anataka ajue ambayo au ambazo zina pendwa na wengi ili asipate tabu akifika dukani anakua na shortlist then anachagua kutoka kwenye hiyo list.Hapana majibu ni sahihi tu.. maana hata ukimwambia hii au ile.. akifika dukani atainusa tu.... Aende madukani akanuse nuSe Kama beberu atafutaye Mbuzi jike.... kwa ushauri akanunue basi ile ya kupulizia wapendwa wetu waliotutoka... Atanukia vyema tu.
Wambie wanajifanya wanazo kumbe choka mbayaHivi kwann mtu kauliza swali tena kwa ustaarabu kabisa halafu baadhi ya watu mnajibu vibaya jamani au kwa sababu kasema kipato chake kidogo?,kama unaona huwezi kumsaidia au kujibu soma tu na upite kimya kimya...yupo jukwaa husika kabisa..acheni hizo ndugu zangu.
Ha ha haRungu, Hit na zinginezo
Duuu [emoji2] [emoji2]Hapana majibu ni sahihi tu.. maana hata ukimwambia hii au ile.. akifika dukani atainusa tu.... Aende madukani akanuse nuSe Kama beberu atafutaye Mbuzi jike.... kwa ushauri akanunue basi ile ya kupulizia wapendwa wetu waliotutoka... Atanukia vyema tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Na kunuka kama beberu la mbuzi hakukufanyi uwe rijali zaidi.
AiseeeUnukie umekua mtoto wa kike?? Au unataka kupigwa upara
Nunua air fresh ya vanilla.....[emoji30][emoji30][emoji30]Habari zenu wanajukwaa..,Mimi naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri yaani ki (Gentleman) ya Bei Rahisi kwanzia Buku5-10...??
NOTE:HALI YANGU YAKIPATO NI NDOGO NDIO MAANA NIKAULIZIA SPRAY NA SIO PERFUME..Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]Hivi kwann mtu kauliza swali tena kwa ustaarabu kabisa halafu baadhi ya watu mnajibu vibaya jamani au kwa sababu kasema kipato chake kidogo?,kama unaona huwezi kumsaidia au kujibu soma tu na upite kimya kimya...yupo jukwaa husika kabisa..acheni hizo ndugu zangu.