Naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri?

Nyinyi ndio watu mnaonuka kama beberu kwenye daladala kwa kuwa mawazo yenu yamejiaminisha uturi ni kitu cha bei kubwa wakati deodorant spray kariakoo kwenye maduka ya jumla zipo mpaka za shillings 3500/= tena za kijanja kabisa.
Hahahahaha
 
Mafuta ya nazi Mkuu ukishajisiliba bomba sana , itapendeza.

 
Tumia body spray za Rasasi kuna hii moja ya kuitwa emotion ni nzuri,inauzwa buku sita tu.
 
Hiyo hapo mkuu.
 

Attachments

  • 1556384071618.jpeg
    319.3 KB · Views: 48
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…