Naomba kujuzwa ada za Shule ya ST Mary's, Uleta na ST Mary Goleth

Sheffer95

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2020
Posts
211
Reaction score
515
Habari wana jf.

Mimi ni mzazi na nategemea mwanangu kuhitimu daresay la 7 mwaka huu hivyo kujiunga na kidato cha kwanza mwakani mwaka 2023.

Ningependa kujua makadirio ya Ada katika shule hizi mbili za St. Mary's ile ya ULETE IRINGA na MARY GOLETH YA MOSHI
Ahsanteni
 
 
St Marys Ulete.
Kwa saiv ni 1.5M, moja ya shule bora ( malezi na academic).
Kama atafaulu mtihani wa kuingilia ( kama mzembe hawezi pita), basi mpeleke.
 
St Marys Ulete.
Kwa saiv ni 1.5M, moja ya shule bora ( malezi na academic).
Kama atafaulu mtihani wa kuingilia ( kama mzembe hawezi pita), basi mpeleke.
Kuhusu ada naona mdau kajibu hapa!

Nitaiongelea St Mary's Ulete sababu nina ifahamu zaidi,

Moja kati ya shule nzuri (ki-ufaulu) kwa mkoa wa Iringa, Shule ipo chini ya Jimbo katoliki diocese of Iringa.

Ki-ufaulu huwa wanabadilishana nafasi /kimbizana na Don Bosco Seminary (Mafinga), Bethel Sabs (Mafinga), Mafinga Seminary (sikuhizi imeshuka hii sijui kwanini), Ifunda Tech.

Walimu wanasimamia sana nidhamu na taaluma, enzi hizo kulikua na mchujo kila hatua usipofikisha average ;

Form one mwisho wa mwaka, Form two kabla ya pasaka na Form three mwishoni.

Mazingira, sio kuzuri saaana [emoji3], lakini mtoto akipita usaili ana uhakika wa kufaulu vyema kidato cha II & IV.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakimbizana na hao wengine, but Bethel ni moto wa kuotea mbali kabisa huo
 
Hahahahaha pale nasikia hata waislamu wanafundishwa ishara ya msalaba
πŸ˜‚πŸ˜‚ Ukiwa muislam Wanakuweka uwe mtumishi wa Altare, au Usome neno.
Kudoji Church ni kosa la jinai linawezakufanya ufukuzwe shule.
 
Aiseee shukran sana kwa hizi data πŸ™ ngoja nichukue hiyo form ya ulete mwezi wa 10 akafanye interview
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…