Naomba kujuzwa ada za Shule ya ST Mary's, Uleta na ST Mary Goleth

Sheffer95

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2020
Posts
211
Reaction score
515
Habari wana jf.

Mimi ni mzazi na nategemea mwanangu kuhitimu daresay la 7 mwaka huu hivyo kujiunga na kidato cha kwanza mwakani mwaka 2023.

Ningependa kujua makadirio ya Ada katika shule hizi mbili za St. Mary's ile ya ULETE IRINGA na MARY GOLETH YA MOSHI
Ahsanteni
 
Screenshot_20220311-170855.png
 
St Marys Ulete.
Kwa saiv ni 1.5M, moja ya shule bora ( malezi na academic).
Kama atafaulu mtihani wa kuingilia ( kama mzembe hawezi pita), basi mpeleke.
 
Kuhusu ada naona mdau kajibu hapa!

Nitaiongelea St Mary's Ulete sababu nina ifahamu zaidi,

Moja kati ya shule nzuri (ki-ufaulu) kwa mkoa wa Iringa, Shule ipo chini ya Jimbo katoliki diocese of Iringa.

Ki-ufaulu huwa wanabadilishana nafasi /kimbizana na Don Bosco Seminary (Mafinga), Bethel Sabs (Mafinga), Mafinga Seminary (sikuhizi imeshuka hii sijui kwanini), Ifunda Tech.

Walimu wanasimamia sana nidhamu na taaluma, enzi hizo kulikua na mchujo kila hatua usipofikisha average ;

Form one mwisho wa mwaka, Form two kabla ya pasaka na Form three mwishoni.

Mazingira, sio kuzuri saaana [emoji3], lakini mtoto akipita usaili ana uhakika wa kufaulu vyema kidato cha II & IV.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakimbizana na hao wengine, but Bethel ni moto wa kuotea mbali kabisa huo
 
Hii ni mary Goreth
View attachment 2147745
Na hii ni St mary UleteView attachment 2147746
Kama mzazi unaweza fanya upembuzi yakinifu nini unataka kwa mwanao.
Ila kama unataka mwanao akale bata, basi Ulete hakuna bata, hakuna visiting Day, Malezi ya kikristo ni lazima sio Ombi.
Aiseee shukran sana kwa hizi data 🙏 ngoja nichukue hiyo form ya ulete mwezi wa 10 akafanye interview
 
Back
Top Bottom