MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Habari wana JF
Nilikua natafakari tu mienendo ya viongozi wa dunia hii wa sasa na awali, nikagundua kwamba vita nyingi zinaanzishwa na viongozi wa kisiasa wasio na mapenzi ya dhati na raia wao.
Vita nyingi zimeanzishwa kwa sababu za kipumbavu ambazo hazina mantiki yoyote kwa mustakabali wa maendeleo au ullinzi wa mataifa yanayopigana.
Huku zamani ata mapenzi tu yanaweza kusababisha vita na madhara makubwa sana kwa wananchi na mali zao. Sasa hivi kunasababu za kipuuzi zaidi ya mapenzi.
Swali langu ni je hao waanzisha vita ambao wamesababisha vifo na mateso kwa watu wengine watapewa adhabu gani huko peponi? watachomwa moto sawa sawa na mtu aliyekula tunda kimasihara?