Naomba kujuzwa Bar au night club zenye karaoke Dar es salaam

Imani yako itakuponya
Amina mtumishi, nimezaliwa katika hii madhabahu, imenikuza, nimefanya utafiti wa kutosha kuhusiana na huko kwingine, nimeona nilipo ni mahali sahihi kwangu.
 
Slip way Masaki

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
unaimba wimbo wa biti husika kama biti ni forever young ya jay z unaimba huo huo. kumbuka inakuwepo screen kubwa ambapo maneno ya huo wimbo yanapita unafanya kurudia tu. huku watu wanapata kinywaji na chakula.
Duuh sasa forever young na hiki kiingereza cha Kayumba si unaweza kuumaliza kuimba baada ya robo saa.
 
Akitokea bwana yake wa jana unafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…