Naomba kujuzwa Bar au night club zenye karaoke Dar es salaam

Naomba kujuzwa Bar au night club zenye karaoke Dar es salaam

Imani yako itakuponya
Amina mtumishi, nimezaliwa katika hii madhabahu, imenikuza, nimefanya utafiti wa kutosha kuhusiana na huko kwingine, nimeona nilipo ni mahali sahihi kwangu.
 
unaimba wimbo wa biti husika kama biti ni forever young ya jay z unaimba huo huo. kumbuka inakuwepo screen kubwa ambapo maneno ya huo wimbo yanapita unafanya kurudia tu. huku watu wanapata kinywaji na chakula.
Duuh sasa forever young na hiki kiingereza cha Kayumba si unaweza kuumaliza kuimba baada ya robo saa.
 
Aisee kumbe tuko wengi. Mimi nikifika bar natafuta mmoja mwenye kijungu kilicho tulia na mwambia na yeye apate kinywaji. Nikiagiza supu na mwambia nayeye aagize supu anayoitaka na beer ikianza kupanda nikitaka kuituliza na mshkaki na yeye pia huku nakagua shanga. Aluuh
Akitokea bwana yake wa jana unafanyaje?
 
Back
Top Bottom