Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

Core pharmacy
Moraf pharmacy
Bariki pharmacy
Heko pharmacy
Unguja pharmacy
Astra pharmacy
Samiro pharmacy
Umoja pharmacy
Planet pharmacy
Rhoda pharmacy
Maduka yote yapo St lindi na nyamwez
Yeah,
Kumbe mkuu upo kwenye gemu 😊
 
Huu ndio ukweli wa wazi usiopingika.hawa jamaa hawana mpinzani
Nipo
kwenye gemu la hii industry (pharmaceutical industry) muda Sasa to be honest sio core pharmacy PEKEE wenye Bei nafuu hapo kariakoo
Kuna pharmacy nyingine nyingi sanaa TU zenye Bei nafuu na huduma nzurii

To mention zinafika kumi kazungumza hivi nikiwa Kama MACHINGA WA DAWA 😅😂😂
 
Zitaje
 
Ikijua brands za dawa ndio itakuwia rahisi kujua wap unaweza pata kwa Bei powaa Zaid
Eg.
Lincoln products, glendmark products, GSK products, cyplus, astrazeneca, Aurobindo, Shelly's e.t.c pia Kuna cheap brand nying Sana za dawa za India

Kuna IMPORTER kuna DISTRIBUTER so Bei Zina differ

Mzee vingine Ni silaha za Vita tumewekeza akili na muda so unaweza hata wewe uka ingia front kusaka MAARIFA

Yapo mengi Sana na kwa ubinafsi wangu sito ya mwaga HUMU
 
Sawa
 
duka la dawa nikiwa na ml 3 naweza fanya hii biashara ya kuleta mzgo kutoka dar to mikioani lengo nkuanza kidogo kidogo.... huku nauza kwa bei chee mzgo unaisha..
 
Kuna watu wanapesa na hawajui Cha kuzifanyia..
Akipatikana mtu mwenye at least 30ml mpaka 90ml kwa whole sale startup Ila upate supplier wa kukupa tags kwa invoice walau za 90 days za fast moving items
 
Back
Top Bottom