Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

Kuna watu wanapesa na hawajui Cha kuzifanyia..
Akipatikana mtu mwenye at least 30ml mpaka 90ml kwa whole sale startup Ila upate supplier wa kukupa tags kwa invoice walau za 90 days za fast moving items
Mkuu nawez kuja PM kama hutojali?
 
Ikijua brands za dawa ndio itakuwia rahisi kujua wap unaweza pata kwa Bei powaa Zaid
Eg.
Lincoln products, glendmark products, GSK products, cyplus, astrazeneca, Aurobindo, Shelly's e.t.c pia Kuna cheap brand nying Sana za dawa za India

Kuna IMPORTER kuna DISTRIBUTER so Bei Zina differ

Mzee vingine Ni silaha za Vita tumewekeza akili na muda so unaweza hata wewe uka ingia front kusaka MAARIFA

Yapo mengi Sana na kwa ubinafsi wangu sito ya mwaga HUMU
Samahani Mkuu,
Wapi naweza pata Dietary supplements products kwa bei ya jumla? Au kuna any local manufacture wa hizi supplements?
 
Back
Top Bottom