Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Kama hujui tulia kimya.We hutaki msaada unaleta majuaji,msaada gani unaomba kibabe hivyo
Na hakuna msaada utakao upata humu nimekaa paleKama hujui tulia kimya.
Sihitaji msaada, nahitaji majibu.Na hakuna msaada utakao upata humu nimekaa pale
Asante, inaelekea una roho nzuri
Naelekea duka la dawa. Nikanunue dawa gani na bei ikoje? Usiniambié habari za kwenda hospitali, we taja dawa. Wengine tuliiba mashuka ya hospitali tukienda tu tunazua taharuki.
NimeshaipataDawa ya macho kuwasha???
Nimeshaipata
Nimeshaipata